January 06, 2009

HAPPY BIRTHDAY

Mdau namba moja wa Blog hii ya jamii Salim Malumbo Jr. leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 4. Baba na Mama yake wanamuombea mtoto wao M/mungu amjalie Afya njema na maisha marefu yenye furaha na mafanikio.Amin
-------------------------------------------------- ----------------
Your Birthday make this day really Special......
just like you !
Happy Birthday.

Ur Daddy

2 comments:

Anonymous said...

Tunakutakia kila la heri katika maisha yako,m mungu akupe afya njema,busara,ukarimu kama dady wako,TUNAKUPENDA SANA!
Ur Unt Rosebaby n family!
Mmm mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa..

heri said...

happy birthday mdau salimu. tunakutakia maisha mareeeefu na Mungu akulinde na akupe mafanikio na uwe na maisha marefu.