www.toneonlineradio.blogspot. com
Tone Multimedia Company Limited inapenda kuwapa taarifa wananchi wote popote Duniani kuwa tumefanya mabadiliko ya jina la Radio pia jina la Tovuti ambapo mala ya kwanza ilikuwa inaitwa Tone Internet radio na Jina la Tovuti lilikuwa ni www.toneinternetradio. blogspot.com, Kutokana na Sababu za kimsingi za kuingiliana kwa mtandao na Radio moja iliyopo USA inakwenda kwa jina la Tune Internet Radio ndio sababu iliyo tupelekea kubadilisha jina na kuzaliwa kwa jina jipya la Tone Online Radio ambapo tovuti yake sasa itakuwa ni www.toneonlineradio.blogspot. com na ikumbukwe pia Tone Online Radio ni Radio inayo tumia internet Pekee hatuna Frequency za aina yoyote. asanteni sana atakae pata link hii ampatie na mwenzake.pia kwa wanamuziki watume na maproducer watume kazi zao kupitia toneonlineradio@live.com . Kwa pamoja tunaendelea kuleta maendeleo ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Tone Online Radio Tumekufikia popote Duniani. Natanguliza Shukrani kwa niaba ya Uongozi, Imetolewa na, Joseph Mwaisango Mkurugenzi wa Mawasiliano Tone Multimedia Company Limited.
Kusikiliza bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment