Baada ya kutoka kwenye Bunge La Vijana lililokwisha mapema mwezi huu Urban Pulse ilikutana na Wawakilishi wetu Linda na Lucy ili kufanya Tathmini ákujua mambo gani waliojifunza pamoja na Changamoto Mbalimbali zinazowakabili vijana.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment