November 07, 2011

Mahojiano Maalum na Mh. Waziri Mkuu Pinda Part 1


Wakati tunapokuwa tunajiandaa kuelekea katika sherehe za miaka 50 ya uhuru Urban Pulse Creative watakua wanakuletea mtiririko wa Mahojiano maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kutuelimisha na kutupatia changamoto mbalimbali zinazozikabili taifa letu.
Hii ni sehemu ya kwanza ya Mahojiano hayo.
Asanteni Sana,
URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22