December 10, 2011

BALOZI NGEMERA AMEZINDUA RASMI UTU BERLIN

Balozi wa Tanzania nchini ujerumani Mheshimiwa Ngemera leo siku ya jumamosi tarehe 10.12.2011 amezindua rasmi umoja wa watanzania wanaoishi nchini ujerumani ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania Bara.

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22