

Mwanamuziki wa kizazi kipya ambaye alipagawisha mashabiki kibao kutoka sehemu mbali mbali za Ulaya. Ali kiba na vibao vyake vikali; Cinderella, Mac Muga, Nakshi nakshi nk. Viliwarusha washabiki toka mataifa mbali mbali usiku huo
MANENO MACHAFU NA KASHFA HAZINA NAFASI KATIKA KIWANJA HIKI. TUNAKARIBISHA MAONI YENYE KUJENGA NA KUELIMISHA JAMII.
Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22
1 comment:
mambo yenyewe.njoo muangalie blog yetu ya mademu celebrities wa kibongo na wengineo...ingieni kwenye..starsbongo.blogspot.com
mambo yote mswano.
Post a Comment