April 08, 2009

MUUNGANO DAY BERLIN 2009




RATIBA
16.30 - 17.00: Mapokezi

17.00-17.30:   Ufunguzi  Balozi wa Tanzania  Mh. A. Ngemera

17.30-19.00:    Mdahalo Muungano wa  Tanzania

19.00-20.00:    Maakuli

20.00-21.00:    Tamthilia

21.00 mpaka majogoo      Bendi ya Muziki (Live)& DJ RAMA (MUNICH)

Watanzania wote wa ujerumani mnakaribishwa 

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22