Habari zilizoingia muda mfupi kutoka kwa Mwandishi wa blog ya jamii aliyepo Sweden zinasema yakuwa wachezaji watano wa timu ya AZAM FC waliokuwa na timu yao nchini humo kwa ziara fupi ya kimichezo wameingia mitini wakati timu hiyo ikiwa njiani kuelekea Uwanja wa ndege tayari kwa safari ya kurudi Bongo walifanikiwa kuchana mfuko wa kiongozi wa msafara na kuchuwa Hati zao za kusafiria ambazo zilikuwa zimeifadhiwa katika mfuko huo.
No comments:
Post a Comment