Mtoto lexis leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 2..................................................................................
Kwa niaba ya blog hii tunakutakia mtoto mzuri Lexis Maisha mema, Afya njema na M/mungu akujalie maisha marefu yenye furaha, Amani na Mafanikio.
2 comments:
Malumbo? kwani maoni yetu haya kukufurahisha hivi kwamba haukuyapitasha enyewe release hata kama ni moja roho safi.
Kumradhi mdau mbona maoni yote nimeyaruhusu sasa maoni gani hayo mnayosema.
Malumbo
Post a Comment