June 13, 2010

JUST MARIED

FLOWERS
BWANA HARUSI MICHAEL
BI HARUSI ANJA
BWANA NA BI HARUSI
MAHARUSI WAKIKATA KEKI

MAHARUSI NA WAFANYAKAZI WENZAKE NA BI HARUSI
OLD IS GOLD
MMATUMBI FULANI
BWANA HARUSI AKIWA NJIANI KUMTAFUTA MKEWE BAADA YA KUTOROSHWA


USIKU WA JANA JUMAMOSI KATIKA MJI WA KAUFBEUREN NCHINI UJERUMANI ILIKUWA NI SIKU YA FURAHA KATI YA BWANA MICHAEL NA BI ANJA BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KANISA LA MT. COSMAS NA DAMIAN NA BAADAE KUFUATIWA NA SHEREHE ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA STADLTHEATER BLONHOFEN.BI HARUSI NI MUUGUZI NA BWANA HARUSI NI POLISI KATIKA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA

1 comment:

Anonymous said...

Malumbo,is that your white wify???You mean you are still together,lol;she is not a bad one for you!


Milan.