June 03, 2010

KIWANJA KINAUZWA MBEYA

Kiwanja kipo maeneo ya New Forest, Mbeya Mjini, mkoani Mbeya. Kina majengo matatu na kina ukubwa wa hekali 3.75 (17,000 sq meter). Kiwanja hicho kina hati miliki zilizokamilia.
Kwa maelezo zaidi, wasialiana na mimi kwa namba :-
+4915204899331 au +491778214501

No comments: