November 03, 2011

HABIBU KINYOGOLI BONDIA MKONGWE ALIYEAMUA KUWAENDELEZA VIJANA KATIKA MASUBWI‏
picha mbalimbali za mkongwe wa nchezo wa ngumi ambaye kwa hivi sasa ni kocha aliyewafandisha vijana wengi wa nchezo huo nikiwa mimi ni mmoja wapo ambapo nilijiunga na klabu ya simba mwaka 1984 kipindi hicho nipo bwana mdogo sana nikafanikiwa kutamba kupitia mchezo wa masubwi huyo ndie habibu kinyogoli --
Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Mob;+255787 406930
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments: