June 17, 2012

WAPENZI WA UGIRIKI WAFUNGA BARABARA NURNBERG

WAPENZI WA TIMU YA TAIFA YA UGIRIKI WAFUNGA BAADHI YA BARABARA ZA MJI WA NURNBERG NCHINI UJERUMANI BAADA YA TIMU YAO KUFANIKIWA KUINGIA ROBO FAINALI YA KUGOMBEA KOMBE LA ULAYA.

No comments: