
Marehemu Patrick kibelloh
Mapumziko ya Milele ya ndugu yetu Patrick.
Marehemu Patrin Kibelloh aliyefariki ghafla siku ya Jumanne
July 10,2012. alizikwa Ijumaa ya july13 huko kwenye makaburi ya Gardner, West Roxbury ,Massachusset. Nchini Marekani
Marehemu Patrin Kibelloh amepata mafunzo katika Institute of proffesional & amp; Restaurant mjini Boario nchini ITALY
Alizaliwa April 25,1963 huko Tanzania
Ameacha mke na Watoto wawili akiwa na umri wa miaka 49.
(Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
M/Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi!
No comments:
Post a Comment