Urban Pulse Creative inawaletea video ya wawakilishi wetu Kutoka Tanzania Linda Kapinga na Lucy Minde katika Bunge la vijana lililoanza tarehe 6-10 Septemba 2011 hapa jijini London. Video hii imefanyika ndani ya ofisi za Ubalozi hapa nchini Uingereza wakati walipopata fursa ya kukutana na MH Naibu Balozi Chabaka Kilumanga pamoja na baaadhi ya Maofisa wa Ubalozi.
Vilevile walifanya Mahojiano maalum na Jestina George kuhusu majukumu pamoja na mtazamo wao kwenye mkutano huu.
Asanteni,
URBAN PULSE ána Miss Jestina Blog Ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Uingereza.
No comments:
Post a Comment