October 30, 2011

NAFASI ZA MASOMO AWAMU YA TATU ZATANGAZWA KATIKA BAADHI YA VYUO TANZANIA MWAKA WA MASOMO 2011/2012

Kwanza kabisa Tunapenda kuchukuwa nafasi Hii kuwasalimu watu wote Wakubwa Shikamoo na wadogo Mambo vipi, Umoja wa Matukio na wanavyuo Tanzania (www.tzwanavyuo.blogspot.com) inayo furaha kuwaletea habari njema wale wanafunzi wote ambao walikosa nafasi za kujiunga na vyuo katika mchakato mzima wa awamu ya kwanza na awamu ya pili. Lakini sasa baadhi ya vyuo vikuu vikiwemo Teofilo Kisanji University, Stefano Moshi Memorial University College,St. Augustine University of Tanzania, Ruaha University, National Institute of Transport, Iringa University College, Institute of Finance Management, Eskerforde Tanga University, University of Dodoma na Ardhi University vimetangaza baadhi ya nafasi hizo. Nafasi zimeelezewa vema na pia mwaweza tazama wapi unataka kujiunga. Fungua sasa na ufuate maelekezo na kutuma maombi yako bila kuchelewa Tunawatakia mafanikio mema wale wote ambao wataenda kujiunga. Mwisho tunapenda kuwakumbusha kwamba ule mtandao wenu wa wanavyuo Bado unakungoja wewe ambae haujajiunga BOFYA HAPA KUJIUNGA NA SOCIAL NETWORK YENU Pia BOFYA HAPA KUJIUNGA NA FAN PAGE YENU nyote mnakaribishwa. na kama mna matukio mbali mbali ya vyuoni kwa wanavyuo wote watanzania waliopo nje na Ndani ya Tanzania na Watumishi wa vyuo kama mna matangazo ama matukio mnataka kuyaposti pia tutumieni kupitiatwanavyuo@live.com

Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: www.tzwanavyuo.blogspot.com

Kwa niaba ya Wenzetu ni sisi,
Matukio na wanavyuo Crew

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22