BAADA YA KUFANYA NA KUMALIZA UZINDUZI WA ALBUM YAO KABAMBE TAREHE
6.NOVEMBER.2011 ASET WAKISHIRIKIANA NA URBAN PULSE CREATIVE WANATARAJIWA KUWABURUDISHA WAFPENZI WA MUZIKI WA DANSI NCFHINI UINGEREZA MWISHONO MWA MWEZI HUO WA NOVEMBER. SHOW HII MAALUM NI KWA AJILI YA KUAZIMISHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA. TAREHE PAMOJA NA MAELEZO YA UKUMBI YATAFUATIA MUDA SI MREFU. KWAHIYO WADAU WA UKEREWE KAENI MKAO WA KULA
Urban Pulse Creative.
No comments:
Post a Comment