HAYA TENA WADAU WA MÜNCHEN NA VITONGOJI VYAKE ULE WAKATI MLIOSUBIRI KWA HAMU SASA NDIO UMEWADIA WALE VIJANA MACHACHARI WA EAST AFRICAN BAN2 CONNECTION
JUMAMOSI HII WAMEWAANDALIA BONGE LA PARTY YA KUKATA NA SHOKA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA KATIKA JIJI LA MÜNCHEN
VENUE: 8BELOW SCHÜTZENSTR.8
FEE ENTRY: 7€
UJUMBE KUTOKA E.A. BAN2 CONNECTION
NJOO WEWE, YULE NA UMPENDAE
DRESS WHITE, LOOK SMART
No comments:
Post a Comment