November 29, 2011

SAV CLAN KUTIMUA VUMBI MÜNCHEN

HAYA TENA WAPENZI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KUTOKA EAST AFRICA ULE WAKATI MLIO USUBIRI KWA HAMU SANA SASA NDIO UMEWADIA WALE VIJANA MACHACHARI WA KUNDI LA SAV CLAN KUTOKA MOMBASA KENYA WANAOTAMBA NA MIONDOKO YA R´N´B WATAFANYA SHOW KABAMBEYA KUKATA NA SHOKA KATIKA JJI LA MÜNCHEN SIKU YA IUJMAA KATIKA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA NA MIAKA 48 YA JAMHURI KENYA.

PLACE: SWNG BAR N CAFE MÜNCHEN
AM HARRAS 2 81373 MÜNCHEN


FROM: 22:00 HRS. TILL LIAMBA


DON´T MISS SHOW OF YEAR

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22