Baada ya Kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na
uzinduzi wa albamu mpya ya 11 inayoitwa Dunia Daraja Bendi ya Twanga
Pepeta Inakuletea video yao mpya ya single yao inayoitwa Dunia Daraja
Kutokana na maombi mengi ya washabiki Twanga Pepeta itafanya Show ya
pili siku ijumaa Tarehe 2 Desemba 2011 katika mji wa Milton Keynes kwenye
ukumbi wa Golden Lounge, Unit 35 Barton Road, Bletchley Milton Keynes.
MK2 3UH
Asanteni,
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss Jestina Blog
No comments:
Post a Comment