April 06, 2008

Mahakama ya Manazi
Haya ni majengo ambayo yalitumika kama Mahakamu kuu ya zamani walipohukumiwa manazi baada ya kupoteza Vita kuu ya pili ya dunia ambayo yapo katika mji wa N├╝rnberg nchini ujerumani.

No comments: