July 25, 2009

MSIBA TANZANIA NA UJERUMANI

NDUGU,JAMAA, MARAFIKI NA WADAU WA BLOG HII YA JAMII NASIKITIKA KUWATAARIFU YA KUWA NIMEPATWA NA MSIBA WA MAMA YETU MPENDWA BI KHADIJA( NADIA) OMARY ARUBATI AMBAYE AMEFARIKI DUNIA SIKU YA IJUMAA MCHANA TAREHE 24.07.09, MSIBA HUPO KINONDONI NYUMBANI KWA MSTAHIKI MEYA WA KINONDONI MHESHIMIWA BWANA SALUM LONDA NA MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA LEO SIKU YA JUMAMOSI SAA SABA MCHANA KATIKA MAKABURI YA KISUTU.

MWENYEZI MUNGU AIWEKA ROHO YA MPENDWA MAMA YETU MAHALA PEMA.

Amin
Malumbo

Allah says in the Qur'an (2:152-156):

“Fadhkurunii adhkurukum, washkuru lii walaa takfuruwn* Yaa ayyuhal-ladhiina aamanuu! sta’inu bi swabiri was-swalaah, innallaha ma’aswaabiryn* Walaa taquuluw liman yuqtalu fiy sabilillah amwaatum bal ahyaau, walaqil-laa tash’uruun* Wa lanabluwannakum bishay-in minal khaufi waljuu’i, wa naqswim-minal amwaali wal amfusi wa-th-thamaraat, wabash-shiris-swabiriyn* Alladhyna idhaa aswaabat hum muswyba, qaalu innalillahi wa inna ilaihi raaji’uun”

Therefore remember Me, I will remember you; and be thankful to Me and do not be ungrateful to Me. O ye who believe! seek help with patient perseverance and prayer; for Allah is with those who patiently persevere. And say not of those who are slain in the way of Allah: "They are dead." Nay, they are living, though ye perceive (it) not. And We will most certainly try you with somewhat of fear and hunger and loss of property and lives and fruits; and give good news to those who are patient. Who, when a misfortune befalls them, say: Surely we are Allah's and to Him we shall surely return.


3 comments:

Anonymous said...

Innalillah wainailah rajiun!

Pole kwa msiba kaka kwani njia ya wote yeye ametangulianasi tutafuatia

Nuruya.

Anonymous said...

Inna lillah waina ilah raji'un!May I send my heart most condolences to Family and friends of our mum.Kazi ya Mwenyezi Mungu haina makosa,poleni sana.


Maryam Mumina.

Anonymous said...

May i pass a word of condolences to the Reletives and friends at this particular moment that you have lost the most lovely Mama.May the lord the giver and the taker of life rest her soul in everlasting life AMEN.
Mwenyeyi Mungu awape subra.Lili Lexies