May 26, 2008

Hakuna Matata Munich

Haya tena wadau wa Munich na Vitongoji vyake mnakaribishwa .katika Sherehe ya Ufunguzi wa Club yetu mpya hakuna matata siku ya Jumamosi tarehe 31.05.08 kuanzia saa 12 jioni ambayo imehamia katika makao yake mapya Bayer str. 103 M√ľnchen

No comments: