May 11, 2008

Hatimaye


Mdau wa blog hii kutoka Munich Prosper Jana amesheherekea siku yake ya kuzaliwa miaka 28 ilyopita.hapo katika picha na mai waifu wake.
Waalikwa

Hata Mduara ulikuwepo

No comments: