May 29, 2008

Maombelezi Mchele

Wananchi wa mji wa stockholm wakiandamana kupinga mauaji yanayofanywa na majeshi ya marekani huko Iraq na afghanistan wakati waziri wa mambo ya nchi za nje wa marekani alipotembelea sweden leo mchana.

No comments: