May 08, 2008

Miss Tanzania Shengen 2008‏

Miss Tanzania Europe 2008, Shindano la kumtafuta Miss tanzania katika nchi za Shengen litafanyika Ujerumani 28.June 2008. Kwa watakaopenda kushiriki tafadhali watume maombi yao Info@misstanzania.eu maelezo zaidi www.misstanzania.eu
Tel: +49 1520 888 0836
Tel:+49 201 5627 1476

No comments: