Gazeti moja la Nchini ujerumani lijulikanalo kama Bild Zeitung, limeandika maajabu yanayofanywa na baadhi ya waganga wa kienyeji nchini tanzania kwamba ngozi na mifupa ya ndugu zetu maalbino (zeru zeru) kuwa ni malighafi ambayo ikipikwa na kunywa supu yake unaweza kuwa tajiri. je hii si aibu kwa nchi yetu ambayo inajulikana kwa Amani na Upendo?
No comments:
Post a Comment