
Inayotegemewa kufanyika Jumamosi 28.06.08 mjini Essen germany.
ALI ambaye aliwasili pamoja na promota wake Kassim wakitokea Oslo - Norway.
Wakati huo huo mtanange wa Ulaya kati ya Uturuki na Ujerumani ulikuwa hewani, ambapo Ujerumani Ilishinda 3-2.
Ali kiba alipata nafasi ya kushangilia Mjini Essen na baadhi ya washabiki wa Ujerumani wa mpira wa miguu.
Wakati huohuo warembo washiriki wa Miss tanzania EU wako kambini na tayari kabisa kwa mchujo wa round ya kwanza pre-selection utakaofanyika ijumaa 27.06.08.
No comments:
Post a Comment