Pichani ni Mrembo lucy Fundikira ambae amenyakua ushindi wa Miss Tanzania 2008 katika nchi za Schengen usiku wa kuamkia jumapili katika mji wa Essen nchini Ujerumani, Lucy mwenye umri wa miaka 18 ambaye anaishi Holland katika mji wa Rotterdam na wazazi wake, alishangiliwa kwa vifijo na vigelegele na umati wa watu uliohudhuria mashindano hayo.
warembo wengine. Nafasi ya kwanza ilichukuliwa na Sabrina Bashir, ya pili Jacquline Sabanya
Lucy akiwa na Mama yake Mzazi Beatrice
2 comments:
lovely!!!!u deserve it darling!!!!wenye wivu utawaona tu....!!!ila ndo ushawakilisha TZ watake wasitake....bless u gal.
Kati ya hao wawili mama ni yupi vile?
Post a Comment