We mshamba....miss katulia wewe... huo ni ushamba au WIVU kweli wewe hujui toto's sijui upo na mwanamke wa namna gani upo out of test men!!!!VAA MIWANI....MWIZA/LUCY FUNDIKIA MZURI MASHALLAH MTOTO KATULIA ...WE MIMATEEE ITAKUTOKAA SANA....KASHINDA HUPENDI KAMEZE WEMBE MISS FUNDIKIRA KIBANIO NDO KAVAA!!!!from MS-Mwanascandick xoxoxo!!!
du mimi naona hawa mamiss wetu hapa bongo bomba kishenzi.yaani hao mamiss wa eu...kama kandambili za kimasai,wamesinyaaa.kama wanaumwa ngwengwe..bongo watoto bomba..mnachekesha nyinyi mamiss wa ulaya...kichefuchefu home boy..bongo
5 comments:
aibu....hivi huko hakuna wasichana wazuri? au hata wanaojua kuvaa vizuri jamani.. yaani hapo hata miss chang'ombe ni bora kuliko hao
hehehe jaman mbona mnaidharau chang'ombe??? mwe!!!
aibu mbona wewe hujaja au ukamleta demu wako...
hongereni mamiss jamani..
i wish u all the best in the future
We mshamba....miss katulia wewe... huo ni ushamba au WIVU kweli wewe hujui toto's sijui upo na mwanamke wa namna gani upo out of test men!!!!VAA MIWANI....MWIZA/LUCY FUNDIKIA MZURI MASHALLAH MTOTO KATULIA ...WE MIMATEEE ITAKUTOKAA SANA....KASHINDA HUPENDI KAMEZE WEMBE MISS FUNDIKIRA KIBANIO NDO KAVAA!!!!from MS-Mwanascandick xoxoxo!!!
du mimi naona hawa mamiss wetu hapa bongo bomba kishenzi.yaani hao mamiss wa eu...kama kandambili za kimasai,wamesinyaaa.kama wanaumwa ngwengwe..bongo watoto bomba..mnachekesha nyinyi mamiss wa ulaya...kichefuchefu
home boy..bongo
Post a Comment