
Haya tena wadau wa Stuttgart na Vitongoji vyake ule wakati mliokuwa mnausubiri kwa Hamu sasa unawadia yule msanii wa muziki wa kizazi kipya Alimaarufu Bongo flava kutoka Tanzania Ali mwana wa Kiba atakuwepo katika mji wa stuttgart siku ya ijumaa tarehe 21.nov.08 katika club maarufu ya Palanca, Blumen str 22, 70173 Stuttgart. Milango itafunguliwa kuanzia saa 1(moja) Usiku mpaka 11 asubuhi haya tena wadau kaeni mkao wa kula kwa vibao vya nakshi mrembo, cinderella na mack mugah.
Kiingilio euro 15Maelezo zaidi piga simu namba
01744290589
015205473823
015226045098
email: jode77@gmx.de
No comments:
Post a Comment