November 13, 2008

MATONYA NDANI YA OSLO

BIG TIME PROMOTIONS INAWALETEA MAMBO YA KUENDELEZA LIBENEKE LA BONGO FLAVA UGHAIBUNI, MSANII WA BONGO FLAVA'' MATONYA'' ANATARAJIA KUWAPAGAISHA WADAU WA MJINI OSLO NORWAY, KTK MAMBO YA KUSHEREHEKEA OBAMA NA KUKANDAMIZA BONGO FLAVA. WADAU WA BERLIN,HOLLAND NA FRANKFURT NAO WAKAE MKAO WA KULA KWANI NAKO HUKO MOTO UTAWAKIA KUTOKANA NA RATIBA YAO.

CONTACT
HASSAN NGANZO +4747262181
FRED MAKOSIR +4795178106

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22