MANENO MACHAFU NA KASHFA HAZINA NAFASI KATIKA KIWANJA HIKI.
TUNAKARIBISHA MAONI YENYE KUJENGA NA KUELIMISHA JAMII.
November 22, 2008
MATONYA APAGAWISHA OSLO
WADAU WA OSLO WAKISEREBUKA KATIKA SHOO YA MSANII WA KIZAZI KIPYA MATONYA, HABARI ZA UHAKIKA ZINASEMA ILIKUWA NI SHOO YA KUKATA NA SHOKA WATU WALIKUWA WENGI MPAKA PALIKUWA HAPATOSHI WADAU WA HOLLAND KAENI MKAO WA KULA Picha kwa hisani ya Hasan Nganzo Norway
No comments:
Post a Comment