November 20, 2008

MSIBA UJERUMANI (DILLINGEN)

BABA,BABU,MJOMBA, KAKA NA RAFIKI YETU MZEE AHMED MAULID AHMED TUMEMZIKA LEO KATIKA MAPUMZIKO YAKE YA MILELE KATIKA MJI WA DILLINGEN,

MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI

PICHA NA MELEZO ZAIDI BAADAE

1 comment:

anonymous said...

Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amen

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22