January 18, 2009

RAMA NA ALWIYE WAMEREMETA

Dj Maarufu wa Kili Stars na Mambo Bado Sound Rama akiwa na ma waifu wake bi Alwiye baada ya kufunga pingu za maisha katika mji wa munich nchini ujerumani
Bibi na bwana Harusi wakifungua Muziki
Bibi na Bwana Harusi katika Pozi la nguvu
Maharusi wakitakiana heri ya maisha mema katika ndoa  yao3 comments:

Anonymous said...

..kweli inapendeza sana,nawatakia kila la kheri katika maisha yao ya ndoa,wawe na baraka zote katika hilo na mola awape nao katika yote.asante sana kwa mapicha mazuri na tutumie zaidi!!!
mdau kutoka mbali-b.k

Anonymous said...

Manshallah!mmependeza saaaaaaaana shem wangu,nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu,m mungu awajalie watoto wake kwa waume,iwe ndoa yenye furaha na baraka siku zote!
Rosebaby a.k.a Rosemalumbo Sweden!

heri said...

duuu ilikuwa lini tena? naona UTB imeshanisahau. Nawatakia maharusi maisha mema, marefu, mazuri yaliyo jawa na furaha na upendo siku zote.