January 21, 2009

WAPI ZANZIBARZANZIBAR INAWALETEA

Tukio la kila mwezi
MADA YA MWEZI HUU NI:

Je Tunafanikiwa au kuporomoka kisanaa?

Burudani kutoka Dogo Mfaume, Siza Mazongera, Black Roots, Ziro Kasorobo, Mo H na wengine wengi.

Ukumbi wa Ngome KongweJumapili tarehe 25 Januari

kuanzia saa 9 Alasiri hadi 2 usiku.(Sunday 25th January from 3pm til 8pm)
MAFUNZO YA GRAFFITI PAMOJA NA HENNA KWENYE KANVASI YATATOLEWA
Michuano ya Ma- Emsii, Uchoraji pamoja na Mjadala juu ya mada ya mwezi


KIINGILIO NI BURE NA WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: