April 03, 2009

AFRICAN NIGHT MUNICH


HAYA TENA WADAU WA WA MUNICH NA VITONGOJI VYAKE   SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 18.04.09 KUTAKUWA NA  SPECIAL  AFRICAN NIGHT ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU KUBWA SANA.

SEHEMU: MAßMANN STR.10
KUANZIA: SAA 2 USIKU MPAKA MAJOGOO
KIINGILIO 5€

COME AND HAVE FUN

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: