April 05, 2009

ALI KIBA NDANI YA ZURICH

HAYA TENA WADAU WA ZÜRICH NA VITONGOJI VYAKE KAENI MKAO WA KULA
HUSINGOJE KUHADITHIWA NJOO UJIONEE MWENYE MAMBO BONGO FLAVA YANAVYOPOROMOSHWA NA ALI MWANA WA KIBA
SEHEMU: EL SOCIAL. HOHLSTR.452
8048 ZÜRICH
MILANGO ITAFUNGULIWA: SAA  2 USIKU MPAKA MAJOGOO (20:00 UHR)

KIINGILIO: 30 FR.

MORE INFOS: 0764182454 DIANA & DONNA

No comments: