April 01, 2009

ALI KIBA & LOLILO NDANI YA NORWAY


BAADA YA KUTESA UBELIGIJI WIKI ILIYOPITA SASA JUMAMOSI IJAYO 04 APRIL 2009 ALI KIBA ATACHUANA NA MWANAMUNCHZIKI LOLILO KUTOKA BURUNDI KWENYE MJI WA BERGEN NCHINI NORWAY,WADAU WOTE WA NORWAY MNAKARIBISHWA, KUMBUKA NI SHOW MOJA TU NCHINI NORWAY.KARIBUNI WOTE TUWAPE SUPPORT WASANII WA NYUMBANI.
MILANGO ITAFUNGULIWA SAA 3 USIKU HADI MAJOGOO

KWA NIABA YA CHARLES GADI PROMOTIONS & ENTERTAINMENT.

No comments: