March 31, 2009

ALI KIBA BELGIUM‏
ALI KIBA JINSI ALIVYOPAGAWISHA BELGIUM

ALI KIBA AZIDI KUTESA UGHAIBUNI HAPA ANAONEKANA AKITAMBA UKUMBI MZIMA MPAKA CHINI YA JUKWAA UBELIGIJI.WAPENZI JITAYARISHENI KWA LIVE INTERVIEW ATAKAYO FANYIWA NA REDIO MAARUFU KUPITA ZOTE NCHINI UHOLANZI FUNX RADIO ALHAMISI HABARI KAMILI MTAZIPATA KARIBUNI.
 
HABARI KWA NIABA YA CHARLES GADI PROMOTIONS

No comments: