April 21, 2009

ENGAGEMENT PARTY

MAHARUSI WATARAJIWA BI MBONI NA ADOLPHE
BI HARUSI MTARAJIWA MBONI

KILI STARS WALIKUWEPO KUBURIDISHA
ABOU MWANA WA LIONGO; NASHE NA BI HARUSI MTARAJIWAKITOJO,NASHE,BI HARUSI MTARAJIWA NA MKURUGENZI WA MG PROMOTION

MC BI THELMA

SIKU YA JUMAMOSI ILIYOPITA KATIKA MJI WA ESSEN KULIFANIKA SHEREHE ZA 
UCHUMBA KATI YA DADA MBONI NA KAKA ADOLPHE AMBAYE ALIWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA BURUNDI, SHEREHE ILIFANA SANA NA KUHUDHURIWA NA WATU WA MATAIFA MBALI MBALI . BLOG HII YA JAMII INAWATAKIA KILA HERI.

No comments: