April 27, 2009

MISS TANZANIA SCHENGEN 2009

MISS TANZANIA SCHENGEN 2009 REGISTRATION CONTINUES !!!!!!

Application Form for Miss Tanzania Schengen www.misstanzania.eu
Mashindano haya ya urembo yatashirikisha warembo wa kitanzania toka nchi za jumuiya ya ulaya (Schengen) yatafanyika Essen Ujerumani

Washindi wa 3 wa mwanzo watawakilisha warembo wengine huko UK katika mashindano ya Miss Tanzania Europe mwishoni mwa mwezi Juni.

Kama wewe unajijua ni mrembo huu ndio wakati wako.
Jiandikishe sasa !!

info@misstanzania.eu
Tel. +491744565644

No comments: