April 13, 2009

MREMBO WA LEO

MWANAMKE SHEPU

4 comments:

Anonymous said...

Mwanamke mrembo wa wapi huyo?nipe contact zake tafadhali,mie nataka kuoa kabisa!

Anonymous said...

super my sis umependeza kweli baby Rose

Anonymous said...

Haluuuu! Shosti wangu umetoka bomba ile mbaya na kweli mrembo wetu wa leo huyo! nakufagilia Mwaaaaaaaaaaaaaa!! Nakumbuka hicho kitenge!

Hellen - Dar

Anonymous said...

aunt umetoka bombaa...nguo zimekukaa balaa..wakilisha mama