April 27, 2009

PARTY YA MUUNGANO BERLIN YAFANA


MWENYEKITI WA UWATAB MZEE KISALYA KUSHOTO PICHA YA JUU AKIWAKARIBISHA MH.BALOZI A. NGEMERA NA MH. SIWA
JAFFER NA JIMMY JIMMY
SHAH &JAFFER


SELE
ZAINA & PETER



Aboubakary Liongo wa dw, Sudi Mnette ambaye kwa sasa yuko dw, wakizungumza na balozi Ngemera, mwanzo kulia huku Naibu Balozi Ali Siwa akisikiliza kwa makini


SENDEMAA LA NGUVU

SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 25.04.09 WATANZANIA KUTOKA PEMBE ZOTE ZA UJERUMANI WALISHEHEREKEA MIAKA 45 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KATIKA MJI WA BERLIN
KWA PICHA ZAIDI TEMBELEA.

www.kilimanjarostars.de



Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Ahmada Ngemera, amesema kuwa suala la mtu kuhoji muungano ni kuhoji matwa ya watanzania.

Alisema hayo katika sherehe za kuadhimisha miaka 45 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Berlin.
Balozi Ngemera amesema kuwa muungano wa Tanzania ni muungano pekee uliyodumu barani afrika, na kwamba ni mfano kuwa afrika inaweza kuwa moja.

3 comments:

heri said...

kweli pati ilichanganya sana. ninasikitika sana sikuweza kuhudhuria. mikazi mingine inatuzeesha haraka na zaidi haitupi uhuru hata wa wikiendi kwaajili ya kupumzika. Mungu ibariki Tanzania na watu wake walioko ndani na nje ya nchi bila kumsahau mwenye blogu hii anaye tuletea habari motomoto.

Anonymous said...

kaka malumbo huyo sele ndo usanii au? mmh anatisha kama ndo hivyo, Mungu tusaidie

Anonymous said...

I say! nililijua tu kama dume! litizame linavyotisha!
Biashara matangazo, usijidai usanii!

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22