September 20, 2009

EID MUBARAK

Nawatakia wadau wote wa blog hii Popote pale walipo...!
Furaha, Kheri na Amani kwenye sikukuu hii ya Eid,
Baraka na Rehma za Mwenyezi Mungu ziwe kwetu sote kwenye kila jambo la Kheri Insha'Allah.
Mwenyezi Mungu atukubalie Funga zetu, Swala na du'a tulizokuwa tukiziomba na atusamehewa pale tulipoteleza na kukosea Insha'Allah .
Mwenyezi Mungu atupe nguvu ya kuwasaidia wale wasio na uwezo, Watoto Mayatima, Wajane, Wasiojiweza, Wagonjwa wenye maradhi mbali mbali, Wazee na vikongwe Insha'Allah Mwenyezi Mungu awape afya na siha njema na rizki za wasaa!
“Taqabbal Allaah Minnaa Wa Minkum”
Allaah Azikubali (Swaum na ibada) zetu na zenu

“Eid Mubaarak”

No comments: