January 20, 2010

EAST AFRICAN PARTY MUNICH


HAYA TENA WADAU WA MUNICH NA VITONGOJI VYAKE SASA KUMEKUCHA MWAKA MPYA MAMBO MAPYA DJ KARIM NA TEAM YAKE WANAWALETEA PARTY YA KUKATA NA SHOKA
SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 06.02.10
KUANZIA SAA 21:00 USIKU (SAA TATU USIKU)

HUSINGOJE KUHADITHIWA NJOO UJIONEE MWENYEWE

1 comment:

heri said...

haya nimeona. ila tarehe uliyo type iko nyuma kwa mwezi mzima. au party imesha fanyika?