March 20, 2010

CANNIBAL KUNYONYA DAMU MÜNCHEN LEO

HAYA TENA WADAU WA MÜNCHEN NA VITONGOJI VYAKE ULE WAKATI MLIOKUWA MNAHUSUBIRI SASA NDIO UMEWADIA YULE MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KUTOKA KENYA LEO SIKU YA JUMAMOSI AMEPANIA KUNYONYA DAMU KATIKA MJI WA MÜNCHEN

KUANZIA 20:00 USIKU MPAKA MAJOGOO
SEHEMU: JUGENDTREFF HARTHOF WEGENER STR.7

USINGOJE KUHADITHIWA NJOO UJIONEE MWENYEWE

1 comment:

Anonymous said...

na subiri hiyo picha kwa hamu na gamu.Mpiga picha naomba utuekee picha zote bila kuacha hata moja.