March 15, 2010

MAHOJIANO NA MSANII CANNIBAL

MAHOJIANO NA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KUTOKA KENYA CANNIBAL
ALIPOTEMBELEA STUDIO ZA MAMBO BADO SOUNDS ZILIZOPO AUGSBURG

4 comments:

Anonymous said...

so ein schmarn!!!!!!!!

Anonymous said...

Mzee wa blog ya Malumbo Junior,mfahamishe Cannibal summer haijafika.Haya,tupatane Jumamosi Insh'Allah utupe raha.

Anonymous said...

mzee wa blog ya Malumbo,asante kwa kumpokelea msanii Cannibal mjini Augsburg.twamshukuru pia kwa kutembelea studio ya mambo bado sounds.twangoja kumsikia msanii kwa hamu na gamu.lilian

Anonymous said...

alafu wewe una roo mbaya ata kuni alika mwenzio? nipigie basi tu chonge mie L