May 20, 2010

FFU wa Ngoma Africa Kukiwasha tena ! ndani ya Afrika Festival,Tübingen City


FFU wa Ngoma Africa Band kuvamia Afrika Festival Tübingen,Ujerumani
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" aka FFU!
wanatarajiwa kutumbuiza katika onesho la "Afrika Festival" Tübingen City,uko ujerumani
siku ya jumamosi ya 5-06-2010 katika eneo la Festplatz Europa str.bendi hiyo yenye tabia ya kuwadatisha hakili washabiki wa Muziki
kwa kutumia mdundo wao,watapanda jukwaani majira ya saa 11 jioni na kutumbuiza hadi Majogoo.kwa sasa
wanatamba na singo CD yao "Jakaya Kikwete 2010"
wadau wa Tübingen City na miji jirani kaeni mkao wa kula.....
unaweza kujumuika nao at www.facebook.com/ngomaafrica

No comments: