May 06, 2010

Ras Nas kuvamia Beirut na Cairo 2010


Mwanamuziki Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi na kikosi chake kikali watashambulia jukwaa katika miji ya Beirut na Cairo kwenye tamasha la Spring Festival 2010 tarehe 14 na 15 mwezi huu. Bendera ya Bongo itapeperushwa angani na kama wahenga walivyonena, asiye na mwana itabidi aelekee jiwe! Safu ya Ras Nas ina wanamuziki Uriel Seri (Ivory Coast), Chuck Frazier (USA), Karlos Rotsen (Martinique), Larry Skogheim (Norway) na Dag Pierre (Sweden). Wadau habari ndiyo hiyo!

unaweza kumtemblea kwa kubonyeza hapa

No comments: